Nabii Bushiri building a multi billion dollar city

Nabii Bushiri building a multi billion dollar city

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
images (75).jpeg

Baada ya kutapeli south Africa fweza za kutosha jamaa ameamua kuwekeza Kwenye real estate.
DUNIA hii Ina mambo
 
Kama mmemleta huko chake ndo kimeisha au kimenuka.
 
Kama kutapeli ni kazi rahisi anza nawe mkuu kutapeli.. 😅😅😅

Nijuavavyo jamaa amewekeza sana Sudan, na SA kipindi wananuweka kesi na mambo mengine walimtaifisha kila kitu ila baada ya mda jamaa amesimama tena..
Ni kazi ngumu inatakiwa uwe na roho ya kishetani
 
Kama kutapeli ni kazi rahisi anza nawe mkuu kutapeli.. 😅😅😅

Nijuavavyo jamaa amewekeza sana Sudan, na SA kipindi wananuweka kesi na mambo mengine walimtaifisha kila kitu ila baada ya mda jamaa amesimama tena..
Mkuu muda mwingine tuache unazi tuongee ukweli, Mr.Bushiri ana tuhuma nzito mno ndani ya SA including raping na fraud, na amekimbia dhamana, kama anajiona yupo sahihi why akimbie bail?tusilifanye jukwaa hili kama kijiwe..facts ziwepo
 
Unazi wangu upo wapi hapo ? Nimesema alikuwa na case SA, ila kawekeza Sudan sana, pia SA walimfilisi ( Taifisha ) ila baada jamaa baada ya mda mfupi karudi tena. Unazi upo wapi hapo
 
Mkuu muda mwingine tuache unazi tuongee ukweli, Mr.Bushiri ana tuhuma nzito mno ndani ya SA including raping na fraud, na amekimbia dhamana, kama anajiona yupo sahihi why akimbie bail?tusilifanye jukwaa hili kama kijiwe..facts ziwepo
Prophet Bushiri ni PhD holder, ana biashara nyingi na kubwa. Ana ofisi kubwa Dubai. Ana migodi 27 Zambia na hapa Tanzania. Ana shirika la ndege. Ana hotels SA, US etc. Na biashara nyingine nyingi tu

Wakati mwingine tuwe wakweli. Wivu wa baadhi ya watu ndani ya vyombo vya usalama vya SA ndio vimemuondoa kule. Ile fraud wanayoitaja (about 6m USD) ni kwasababu yeye aliwahimiza watu wawekeze na kumbe management ya kampuni ikashindwa na kusababisha hasara. Alipendekeza alipe kwa awamu kama kuchukua responsibility wakamkatalia na kumpa kesi. Bushiri kwa hela aliyonayo ndio abake mwanamke?

Ameondoka SA baada ya mamlaka kushauriwa na zikaruhusu. Aliondoka na raisi wa Malawi alipoenda ziarani kule hivyo ni uongo kusema alitoroka
 
Uko too negative na inaonesha huna taarifa sahihi. Soma comment yangu #13
Watu wana wivu wa ovyo sana. Nimemueleza Bushiri kaondoka SA wakiwa wametaifisha mali zake, lakini akumbuke jamaa kawekeza sehemu nyingi sana zaidi ya SA walipichukua kuanzia ndege na hotel na mali zake zingine pamoja na ku freeze account zake .. ila baada ta mda mfupi kasimama kama awali tu.. na hiyo case ya kubaka ambayo wana mtuhumu upumbavu mtupu hakuna kitu
 
Kama kutapeli ni kazi rahisi anza nawe mkuu kutapeli.. [emoji28][emoji28][emoji28]

Nijuavavyo jamaa amewekeza sana Sudan, na SA kipindi wananuweka kesi na mambo mengine walimtaifisha kila kitu ila baada ya mda jamaa amesimama tena..
Hawakutaifisha alishinda kesi, unakumbuka alishitakiwa kwa makosa gani money laundry unajua nini maana ya money laundry
 
Back
Top Bottom