Salaam, shalom!
Tangu kuumbwa Ulimwengu huu, Kiti kikuu, Mamlaka kuu ya Mungu haijawahi kushindana na tawala za wanadamu wakabaki salama.
Askari wapo kufuata order ya mkubwa wao, ufalme wa Mungu askari pia wapo, na hufuata order ya mkuu wao, Jemedari Mkuu, Mfalme wa Wafalme.
Sasa juzi mmeingia mtegoni, mmemkamata Malaika , kijana mdogo tu Kwa mwonekano, na kumpeleka gizani mkidhani mnamkomoa, kumbe mmeipeleka Nuru gizani, sasa Nuru hiyo inaangaza na kufunua yote yaliyofichwa.
Wanaosumbua wenye HAKI wako 700, hao 700 wako katika makundi matatu, kundi la kwanza ni 80%, kundi la pili ni 15%,kundi la tatu ni 5%hawa wako ndani ya chama.
Sasa Mungu anakwenda kuwatumia watu Toka ndani ya chama hicho hicho, na wanakuja kuwaweka wazi wote watendao UOVU, in short, watu hao Mungu anakwenda kuwatumia Ili kusafisha Nchi.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Source: Nabii Jacob Steven, HUDUMA YA KRISTO., U- Tube video.
Karibuni.