Nabii Mkongo aliyetabiri vifo Kenya!

Nabii Mkongo aliyetabiri vifo Kenya!

Akamatwe ahojiwe!
Lazima alijua alichokuwa anafanya mackenz
 
Hawa manabii wakifanya utabiri isipotokea wawe wanarudi kutupatia updates.
 
Kagame alishakataza huu ujinga wa brainwash watu kwa kutumia Biblia - huna degree ya Theologia hakuna kufungua kanisa kutapeli watu.

Kwa hili Kagame kula tano, ha TZ matapeli wengi tu, its comming up - ilikuwa Uganda, Kenya sasa zamu yetu.
 
Biblia ilionya mapema na zamani sana kwamba kutatokea manabii, mitume na watumishi wa uongo, ni zaidi ya karne 20 sasa lakini bado watu wanatekwa, wanadanganywa, wanaangamia!
 
walewale
festo.jpg
 
Pigaji hilo .Nikishaona jitu linaangalia macho ya pembeni pembeni kama hilo Nabii nakuwa makini sana .
 
Back
Top Bottom