Nabii mkuu awashika mkono wajasiriamali

Nabii mkuu awashika mkono wajasiriamali

kopites

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Posts
9,229
Reaction score
11,531
Viongozi wa dini wajifunze kwa nabii mkuu,kuisaidia jamii,Watu wanateseka na maisha

msijilimbikizie Mali

Neno liendane na matendo,msikalie kufukuzana makanisani kulinda maslahi yenu,saidieni watu,isaidieni jamii ipone
 
Viongozi wa dini wajifunze kwa nabii mkuu,kuisaidia jamii,Watu wanateseka na maisha
View attachment 2489839
msijilimbikizie Mali

Neno liendane na matendo,msikalie kufukuzana makanisani kulinda maslahi yenu,saidieni watu,isaidieni jamii ipone
Hizo pesa za kugawagawa ilhali washirika wake wengi ni makapuku, na mali kama hayo magari huyo nabii wako anatoa wapi? au naye ndiyo wale wale wanaosemekana kuwa wadau wa mackenzie?
 

Attachments

  • VID-20230510-WA0005.mp4
    32.9 MB
Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.

Mathayo 7:15
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.

Mathayo 24:24
Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.

1 Yohana 4:1
 
Back
Top Bottom