King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hivi si ndo huyu anaetuhumiwa kula wake wa wenzie.
nabii na mtume aweza fanya haya??Hivi si ndo huyu anaetuhumiwa kula wake wa wenzie.
Na dalili zote za ugonjwa huo zikiwemo delusions of grandiosity (anajiaminisha kuwa yeye ni mtume na ni nabii japo kuna kila ushahidi kuwa siyo kweli), auditory hallucinations (ati alishakutana na Yesu Kristo na hata Mungu mwenyewe live wakampa ujumbe huo anaoita 'kusudi'), visual hallucinations (huwa anamwona roho mtakatifu, Mungu, Yesu nk)! Anahitaji msaada. Lakini kizazi cha waliopotoka kimechagua kupotoka naye! Haiingii akilini kuwa mtu anayejiita 'nabii' anaweza kufanya ujambazi ule tuliouona kwenye TV dhidi ya watu ambao hata kesi mahakamani haijaisha, na bado hajioni mwenye kasoro. Kujaribu kuwafukuza watu kwenye eneo linalogombewa kwa kuchoma moto mali yao ni tabia ya kijambazi tu.Yawezekana ana schizophrenia
nabii na mtume aweza fanya haya??
Yap ndio huyo huyo.
me akinilia mke wangu namwendea kwa kalumanzila tuh af tuone kama kweli anaweza toa mapepo ayatoe mapepo hayo,
namtia uchizi habari zenyewe za unabii zikomee hapo hapo
eboo..!!
1.Anasema ukimchezea yupo tayari kufia mikononi mwako
2.Awachana viongozi wanauza nchi kwa kulala 5* hotel na kupanda ndege tu
3.Awachana viongozi wanaolindwa wakati ndio hao wanauza nchi kwa vx,anasema ni wapumbavu tu.
Endeleen kufatilia TRENET Live mmuone.
Nawasilisha.
Hivi si ndo huyu anaetuhumiwa kula wake wa wenzie.