Nabii Steven Jacob: Rais ajaye wa Tanzania. Mch Josephat Gwajima ndiye. Amtaka atoe tamko sasa

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,967
Reaction score
4,267

View: https://youtu.be/N56WUqh2ODg?si=A_rAwRxypLvDeseFMungu awe nanyi nyote..!!

Ni dhahiri shahiri kwamba yajayo nchi hii, yanafurahisha...

• Ni mwendelezo wa ujumbe wa Mungu juu ya utawala wa nchii toka kwa mtumishi wa Mungu Nabii Steven Jacob wa Huduma ya Kristo (The Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania....

• Anasema na kuendelea kusisitiza kuwa, Mungu Yehova ameshasema kuwa, Bi Samia Suluhu Hassan si kiongozi (Rais) ajaye wa nchi na taifa la Tanzania....

• Badala yake kiongozi mteule (Rais ajaye) wa nchi na taifa hili ni Mch Josephat Gwajima ambaye yuko huko huko CCM....

• Amsihi na kumtaka kuondoa hofu na woga badala yake atii sauti ya Mungu kwa kutoa tamko la kugombea u - Rais kupitia CCM na wakimkataa huko, atoke na apitie chama jingine chochote sawasawa na sheria za Tanzania zinavyotaka...

• Aidha, nabii Steven Jacob amewalaumu manabii wengine kama kina Danstan Maboya ambao wanaujua ukweli huu lakini wamefumba midomo yao na kunyamaza...

## Hii kitu kwa wasio wa rohoni itawapa shida sana kuelewa na obvious kuwa komenti za matusi na dhihaka kwa mtumishi wa Mungu huyu, ndizo zitakazotawala maana kambi ya ufalme wa giza na wa kichawi imetikiswa na hivyo kawaida kutema sumu isiyo na madhara. Lakini sisi wa rohoni tunaelewa....🙏🙏

##Mtazame na msikilize mwenyewe kwenye video hiyo👆👆👆hadi mwisho....
 
Hahaha......nyuzi kama hizi tunacheka tu😅😅
 
Tapeli ngwaj akiwa rais ni afadhali apewe bwana januari... Yani ngwaj huyo huyo muongo muongo mwigizaji wa misukule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…