Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hawawezi kumpeleka huko Milembe.Hao ni wafiraji.Watakuwa wamekumbuka ufirauni wao ndiyo wamejibebea "zigo remix" wakabembee nalo.Kabla ya yote wampeleke mirembe kwanza
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Tito Onesmo Machibya, maarufu kama “Nabii Tito”, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo, matusi na uchochezi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, mtuhumiwa alikamatwa usiku wa Agosti 15, 2026 katika eneo la Sinza Makaburini, wilayani Ubungo, jijini Dar es Salaam.
Polisi wamesema uchunguzi kuhusu tuhuma hizo unaendelea, huku taratibu za kisheria zikikamilishwa ili mtuhumiwa afikishwe katika mamlaka husika kwa hatua zaidi.
✔️Kabla ya yote wampeleke mirembe kwanza
A.esikia Mafwele anawafobokoa kichizi wanaomsema Samia, jamaa akaona na yeye akakunweKabla ya yote wampeleke mirembe kwanza
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Tito Onesmo Machibya, maarufu kama “Nabii Tito”, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo, matusi na uchochezi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, mtuhumiwa alikamatwa usiku wa Agosti 15, 2026 katika eneo la Sinza Makaburini, wilayani Ubungo, jijini Dar es Salaam.
Polisi wamesema uchunguzi kuhusu tuhuma hizo unaendelea, huku taratibu za kisheria zikikamilishwa ili mtuhumiwa afikishwe katika mamlaka husika kwa hatua zaidi.
Nabii tito siyo kichaaMko busy na kukamata vichaa
Ni shogaNabii tito siyo kichaa
Kobazi akili zenu bhna.🚮Eti nabii.
Nabii wa mwisho ni Nabii Muhammad S.A.W, baada yake hakuna nabii tena.
Umewahi kushiriki naye?Ni shoga
Kamateni na hawa wakora wanaohubiri katika vìtuo vya mabasi. Wanakera.Hawawezi kumpeleka huko Milembe.Hao ni wafiraji.Watakuwa wamekumbuka ufirauni wao ndiyo wamejibebea "zigo remix" wakabembee nalo.