Nabii Tito nani anamdhamini kumdhihaki Mungu

Nabii Tito nani anamdhamini kumdhihaki Mungu

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Habari.

Huyu yuko anashinda sana Live TikTok na kuwashawishi vijana wawe mahanisi.

Amekuwa akipost video amevaa nguo zenye nembo ya CCM na mkewe huku akitembea mitaani na kushinda Tiktok.

Anajiita Mungu.

Anashinda Tiktok masaa 24.

Swali langu nani amadhamini huyu kichaa ili aweze kutrend
 
Nani anagawa unabii au utume?Huwa anatumia vigezo gani kuwateua hao manabii na mitume?maana hawa mabogasi wamekuwa wengi wanadhalilisha Imani za watu na kupiga chapaa za sisi watanganyika tuliojichokea.
 
Huyu namjuwa vizuri sana
Tokea akiwa kinyozi na alikuwa
Anapiga chuma..
Walikuwaga na saloon kinondoni
Kuna siku nlikutana naye moroco
Akanikumbuka,tena aliiniita baharia....

Ova
Mkuu mlipiga stories gani sasa... mtaani ana akili nzuri au ni kama tunavomuona kwenye media ?

Ninajaribu ku imagine mazungumzo yenu 😂
 
Kwa nuilivyo mulewa mtoa mada,
Kwamba tito anaishi na kumtukana Muumba kwa usaidizi wa nani?
Kazi anayofanya yeye na mke/wake zake.
je gharama zao za maisha wanazilipaje? nani analipa?
 
Habari.

Huyu yuko anashinda sana Live TikTok na kuwashawishi vijana wawe mahanisi.

Amekuwa akipost video amevaa nguo zenye nembo ya CCM na mkewe huku akitembea mitaani na kushinda Tiktok.

Anajiita Mungu.

Anashinda Tiktok masaa 24.

Swali langu nani amadhamini huyu kichaa ili aweze kutrend
Huyo ni chizi, hana tofauti na Zumaridi
 
Kwa nuilivyo mulewa mtoa mada,
Kwamba tito anaishi na kumtukana Muumba kwa usaidizi wa nani?
Kazi anayofanya yeye na mke/wake zake.
je gharama zao za maisha wanazilipaje? nani analipa?
Tito ni choko, labda hapigwi bure
 
CCM wamewahi kukemea matendo yake ?
1000012512.jpg
 
Back
Top Bottom