Nabisha hodi wana JF

Nabisha hodi wana JF

Nwaigwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
1,053
Reaction score
914
Nimekuwa mpenzi wa hili jamvi,na leo nimeamua kupiga hodi nikaribishwe kikaoni badala ya kuwa mshuhudiaji kwa mbali.natumaini kupokelewa na kujifunza mengi toka kwenu.
 
Nimekuwa mpenzi wa hili jamvi,na leo nimeamua kupiga hodi nikaribishwe kikaoni badala ya kuwa mshuhudiaji kwa mbali.natumaini kupokelewa na kujifunza mengi toka kwenu.

Karibu sana aisee! hapa ndio JamiiForum The great thinkers.
Nakupokea kwa matatu mazito PWA, PWA, PWA.
 
Karibu sana Nwaigwe, hapa ndio JF, tunategemea mengi toka kwako pia.
 
Back
Top Bottom