Nachagua Upendo badala ya Chuki. Mapenzi Matamu😍

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Leo nimeamka na mood za kutosha kwakweli.....then nikapita kwenye app ya mdada mmoja maarufu aliyekuwa ameelezea namna ya kufanya kwenye mahusiano unapokuwa na mwanaume ili aone upendo wako na how deep you are ili uuwini moyo wake ... jumlisha na hizi mvua za masika plus mziki niliokuwa nasikiliza dahh nikajikuta nimevusha kidogo.... kwangu mimi yale aliyoongea sijui ya kukumbatiana na kukiss muda wote kwakweli yalikuwa marudio tu.....

Ukiwa na mtu hata kwa moment fupi halikisha hakusahau kamwe...hata kama ikilazimu kuachana asiweze kukutoa moyoni... tengeneza moments Unique...
Mungu amekupa mikono miguu mdomo ulimi, pumzi na viungo vingine vyote vitumieee asee... make your home au popote mnapokuwa pamoja kuwa paradise....

Kwakweli ukimpata mnayeelewana na kuendana chemistry na biology mapenzi ni matamu sana
Mimi ni muumini wa mapenzi yale ya kikorea kabisaaaa... uko sokoni nshakukuna kuna kichwa au mgongo.... ..unakula nshakulisha... nshakukiss basi tu burdan


Haya wale wa matusi leo mje na mapya...nshawaambia choose love over hate...
 
Very positive minded.

Kushindwa kuenjoy wakati ulionao, kwa kuhofia kuachwa baadae ni ugonjwa mbaya!
Yeah
Sometimes emotions unazotoa zinaweza kumfanya aliyepanga kusepa atulie
Just do it for yourself
 
Wewe ndiye unayajua Mapenzi sasa

Wengine waje chukua notes
 
I choose love over hate..

Nimeipenda hii hata kama ni dk 30, hakikisha hakusahau.

Naka kama naka 🤣, sijawahi kukupinga damu yangu, na unalijua hilo ndugu yangu.
 
Reactions: EEX
SERIKALI ISIMAMIE ZOEZI HILI HATE NA BEUTIFUL HAWAWEZI KAA MEZA MOJA HADI WASULIHISHWE
 
I choose love over hate..

Nimeipenda hii hata kama ni dk 30, hakikisha hakusahau.

Naka kama naka 🤣, sijawahi kukupinga damu yangu, na unalijua hilo ndugu yangu.
Udugu wangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Siku ntapandisha mashetani ya kimakonde nisimamishe jf dk 30 tu...
Hahahah
 
 
Udugu wangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Siku ntapandisha mashetani ya kimakonde nisimamishe jf dk 30 tu...
Hahahah
Hahaa... mimi nitakushika sikio, na kuyatuliza mashetani yatulie, yasikuumize kiti..
🤣🤣🤣
 
Halafu moderator tuheshimiane jaman
Sasa why mnibadilishie uzi wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…