Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Embu acha tabia mbaya...tangu lini kutamani kua na mtoto/kua mama kukawa dalili za ushoga?!Kwahiyo wamama wote ni mashoga?!
Huyu kibebii haeleweki, ana miaka 30 halafu anakuja kuuliza hapa JF jinsi ya "kupanua mapaja," kaaazi kweli kweli!
swaaaaaefffiii, hivi mpaka miaka yote 30 alikuwa anasubiria nini? Au ana sura kama avatar yangu?Pale LOVE CONNECT kuna jamma katangaza anataka mtoto atamtunza ila wewe hataki muishi woote... Perfect Match...
Aliye kupa wewe watoto kabla ya 30 ndiye anajua kwa nini hajampa hata baada ya 30.stop condemnations,Ukipata shukuru usicheke wenzio walokosa..swaaaaaefffiii, hivi mpaka miaka yote 30 alikuwa anasubiria nini? Au ana sura kama avatar yangu?
eti eeeeeeeehHuyu kibebii haeleweki, ana miaka 30 halafu anakuja kuuliza hapa JF jinsi ya "kupanua mapaja," kaaazi kweli kweli!
Embu acha tabia mbaya...tangu lini kutamani kua na mtoto/kua mama kukawa dalili za ushoga?!Kwahiyo wamama wote ni mashoga?!
Kwahiyo unaogopa nini ? kuvua chu** au swala la kubeba mimba miezi 9 na patashika ya kujifungua ?Nawashukuruni sana wana jf kwa majibu yenu toka kwa post yangu ya kuomba msaada juu ya tatizo langu ilo ila wengi mmenishauri nizae
sasa nitazaaje?
Iyo process ya kuzaa from a to z kaazi kweli nifanyeje wana jf?
Asanteni.
Igweee kuna bebii mwanamme kweli au unafurahisha jukwaa ?wewe ni shi au hi,.......i mean jinsia yako plz,maake kama process ya kuzaa huijui basi,...
Bebii kwani unaogopa nini hasa? Huna mwenza au mwenza wako hataki?Uporoto bwana na nani mfano mambo mengi ujue