Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wasemao hamna marefu yasiyo na ncha hawakukosea. Leo tunaona majabali na magwiji wa Sukumagang a.k.a Sukuma gang wakiporomoka mmoja baada ya mwingine, kila mmoja kwa namna yake.
msukuma alitangaza vita na Mchagga, mnyakyusa na akaungana na Mmasai.
Leo Mmasai ana nongwa kibao, tayari kakalia kibao kata cha mvua 30, na nongwa kibao zamngojea kwa hamu.
Sukuma gang lingine limeshikwa na uharo ni lini litafikishwa kizimbani.
Lingine limedata huko liliko, madini yanaibiwa. Mbona hatari mbwa mkali.
Jufunzeni kutenda haki mpewapo madaraka. Tiini sheria bila shuruti, heshimuni haki za binadamu, pia mkumbuke cheo ni dhamana.
NB:-
Gamboshi ni ngome yenu, itumieni vyema.
Big Cheese alilindwa na wachawi 900 lakini kaenda. Imarisheni jadi zenu