Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
CCM ikipasuka ndio raha yetu. Anguko la Wasukuma kwetu ni burudani. Wasukuma hawana kitu wala thamani tena Dodoma.nilidhan adui yenu ni ccm kumbe ni ka kikundi kadogo ka watu aiseee.
ndo maana mbowe anateseka gerezani.wapambe mpo busy kuwacheka sukuma gang
Adui mkubwa ni CCM, ila kuna mambo mengi sana ya ajabu ambayo hatukuwahi kuyashuhudia, kabla ya awamu ya sukuma gang!!na majeraha yake kuja kuisha ni miaka mingi sana!!MUNGU NI FUNDInilidhan adui yenu ni ccm kumbe ni ka kikundi kadogo ka watu aiseee.
ndo maana mbowe anateseka gerezani.wapambe mpo busy kuwacheka sukuma gang
Wasemao hamna marefu yasiyo na ncha hawakukosea. Leo tunaona majabali na magwiji wa Sukumagang a.k.a Sukuma gang wakiporomoka mmoja baada ya mwingine, kila mmoja kwa namna yake.
msukuma alitangaza vita na Mchagga, mnyakyusa na akaungana na Mmasai.
Leo Mmasai ana nongwa kibao, tayari kakalia kibao kata cha mvua 30, na nongwa kibao zamngojea kwa hamu.
Sukuma gang lingine limeshikwa na uharo ni lini litafikishwa kizimbani.
Lingine limedata huko liliko, madini yanaibiwa. Mbona hatari mbwa mkali.
Jufunzeni kutenda haki mpewapo madaraka. Tiini sheria bila shuruti, heshimuni haki za binadamu, pia mkumbuke cheo ni dhamana.
NB:-
Gamboshi ni ngome yenu, itumieni vyema.
Big Cheese alilindwa na wachawi 900 lakini kaenda. Imarisheni jadi zenu
Waueni basii Wasukuma wote mpate raha.
CCM ikipasuka ndio raha yetu. Anguko la Wasukuma kwetu ni burudani. Wasukuma hawana kitu wala thamani tena Dodoma.
Huu ni mtaji wa kisiasa.
Ona ma Gwajima yote mawili yako kimyaaaaaa...... Gwajima moja limeambiwa lenyewe ni lipinzani asilia.
Gwajima lingine limeambiwa lenyewe ni li ndugu la Tundu Lissu wote wakae kimya, na hakika wameufyata mazima.
Adui mkubwa ni CCM, ila kuna mambo mengi sana ya ajabu ambayo hatukuwahi kuyashuhudia, kabla ya awamu ya sukuma gang!!na majeraha yake kuja kuisha ni miaka mingi sana!!MUNGU NI FUNDI
Kuleana na kudekezana ndio kumelifikisha taifa letu hapa. Tunahitaji katiba itakayo mburuza kila muovu mahakamani, kuanzia rais hadi mtu wa chini kabisaTukiendelea kufanyiana au kuleteana visasi hakuna atakayebaki salama maana viongozi wote kuna Madudu walioyafanya kuanzia hyo awamu 1-5 hatupaswi kufurahia mwenzio anapopatwa na mabaya lakini tunapaswa kujifunza kwa haya yanayotokea na kuna la kujifunza namna gani ya kuongoza pindi unapopewa madaraka
Tukiendelea kufanyiana au kuleteana visasi hakuna atakayebaki salama maana viongozi wote kuna Madudu walioyafanya kuanzia hyo awamu 1-5 hatupaswi kufurahia mwenzio anapopatwa na mabaya lakini tunapaswa kujifunza kwa haya yanayotokea na kuna la kujifunza namna gani ya kuongoza pindi unapopewa madaraka
Awamu ya 5 iliturudisha nyuma miaka 500hakuna awamu ambayo haijawahi kuacha jeraha mkuu. sema tu awamu ya tamu watoto wengi wamekamata simu ndo maana unaona kelele nyingi. Nawatanzania tulivyo wasahaulifu tunajipa matumaini kwa kushangilia maanguko yasiyotupa faida
Nakupa jina sasa, wewe ni Sukuma galMnaleta Fyokofyoko hapa sio!! Fyokofyoko zenu ziishie msoga, nyoko nyie
Naomba kukuelewesha kuwa Sukuma gang si wote ni wasukuma. Miongoni mwa watu walioteswa na Sukuma gang wamo wasukuma ambao walinyang'anywa mifugo yao na wengine kuuawa. Sukuma gang kalikuwa ka kikundi faidika ka utawala uliopita ambako Sera kuu ilikuwa kutawala kwa mabavu.Waueni basii Wasukuma wote mpate raha.
Tunahitaji katiba mpya iwawajibisheHawa viongozi wanaotumbua na kuenenda ndani ya mapambio ya sifa kumbe ni wengi wa maovu na tena ya kutisha?
Tukiendelea kufanyiana au kuleteana visasi hakuna atakayebaki salama maana viongozi wote kuna Madudu walioyafanya kuanzia hyo awamu 1-5 hatupaswi kufurahia mwenzio anapopatwa na mabaya lakini tunapaswa kujifunza kwa haya yanayotokea na kuna la kujifunza namna gani ya kuongoza pindi unapopewa madaraka
Buji ni msukuma pia, kwa baba na kwa mama. Ila utawala ule ulikuwa ni utawala dhalimuNaomba kukuelewesha kuwa Sukuma gang si wote ni wasukuma. Miongoni mwa watu walioteswa na Sukuma gang wamo wasukuma ambao walinyang'anywa mifugo yao na wengine kuuawa. Sukuma gang kalikuwa ka kikundi faidika ka utawala uliopita ambako Sera kuu ilikuwa kutawala kwa mabavu.