Nacheki NBA finals 1988

Nacheki NBA finals 1988

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Nacheki NBA finals hapa ESPN 2

THE FINAL kati Lakers vs Pistons bonge la game

Magic Johnson was a lit jamaa alikuwa noma sana enzi zake

Namwona KAJ jamaa mrefu sana [emoji1787] anafunga tu

Namwona pia babake Klay Thompson mzee Thompson Kama bencher[emoji3]

Kwa ujumla it was classic Sioni bulldozing type of play Kama ya mfalme wa uchochoroni [emoji1787][emoji86][emoji85]

Tatu tatu wanatungua kama kawa

Namwona pia Dennis Rodman kabla pepo la marangi rangi na mahereni hajamvamia very innocent young man [emoji3]

Jamaa wote wanaonekana warefu sana vibukta kama chupi

Ila game inavutia zaidi

Tumeimiss NBA this time tungekuwa tunaongea Playoff

Corona jau sana[emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adam silver anazingua, mzee game ya 1988 dah sio poa nikitambo hata sijui kama nitakuwepo leo hapa sasa kama baba yake klay yupo humo sihata mzee curry na yy alikuwepo anakiwasha muda huo.
 
Nacheki NBA finals hapa ESPN 2

THE FINAL kati Lakers vs Pistons bonge la game

Magic Johnson was a lit jamaa alikuwa noma sana enzi zake

Namwona KAJ jamaa mrefu sana [emoji1787] anafunga tu

Namwona pia babake Klay Thompson mzee Thompson Kama bencher[emoji3]

Kwa ujumla it was classic Sioni bulldozing type of play Kama ya mfalme wa uchochoroni [emoji1787][emoji86][emoji85]

Tatu tatu wanatungua kama kawa

Namwona pia Dennis Rodman kabla pepo la marangi rangi na mahereni hajamvamia very innocent young man [emoji3]

Jamaa wote wanaonekana warefu sana vibukta kama chupi

Ila game inavutia zaidi

Tumeimiss NBA this time tungekuwa tunaongea Playoff

Corona jau sana[emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, nimecheka sana kwenye dongo la LBJ.
 
Isiah thomas kwenye ubora wake kipindi hicho
 
Lebron james kakukosea nini mzee!?

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom