Nachelewa kuingia kwa bedi ..... hataki....

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Mpaka sasa niko na laptop, mchumba kalala, ni kesi kwa kesho asubuhi, nisaidie mawazo!
 
Kwa nn sasa unamwacha mwenzako analala mwenyewe,mie kirudi tu naweka kila kitu pembeni mpaka nahakikisha keshalala kabisa ndio naweza ingia tena
au nisiingie kabisa, na muda mwingisafari ni nyingi, wewe hata hujamwoa unafanya hivo, anaweza tumia kigezo hicho kukudisquqlify
 
panga muda wako vizuri ... laptop huwezi kukaa nayo hadi saa 8 ucku ... tumia laptop yako yeye aangalie tamthilia then zikiisha na wewe zima laptop mlale
 
Una mchumba alafu unang‘ang‘ana na laptop usiku ya kazi gani?!!
 
kumjali mwenza ni ki2 muhimu sana! Angalia atakukimbiaaaa. . .!
 
hebu tupa laptop kuuule af wahi faaasta kapige mekup sex utaona mwenyewe mwisho wa siku utaona analia afu hutaelewa analilia utamu au bado ana hasira
 
Kijana nenda kwa mwenzio upesi. Usiku tunaachie wenyewe...
 
Jirekebishe, sio unaganda tu humu huku unaharibu mambo yako mengine, jipe ratiba
 
Nashukuru kwa mawazo yenu, illa nieleweni jamani, nikiamka asubuhi umeme hakuna - nalazimika eidha kulala au kudhurura, namwambia bibie kuwa siwezi kuwa home bila umeme kuwepo, umeme unapokuwepo tayari nakuwa na mambo ya kufanya - kazi na kuwasiliana na wapendwa wangu wa JF mnaosoma hii mada. Bila umeme mapenzi kwa shem / wifi yenu yatakuwa mashakani , na sio kwangu tu!
 
Kijana nenda kwa mwenzio upesi. Usiku tunaachie wenyewe...

Shatoka zangu Vila Park niko home, dear kalala kwa bedi mi na laptop kangu nachart na wapendwa, wenyewe ndo akina nani?
 
Jirekebishe, sio unaganda tu humu huku unaharibu mambo yako mengine, jipe ratiba
Baby thanks a lot; ratiba yangu anaiharibu Kiwete na Bageshi wake Ngele
 
Ana kandoa na mimi (mimba) kuniacha itakula kwake.
 
Wewe ni kizungurukamoto. kwanza unaishije na mchumba kama siyo uasherati aka uzinzi. Huyo nae alale tena afunge domo lake aisjaribu kukuuliza, alipashwa awe kwao kalala. Faida ya kuishi bila ndoa mtaijuitia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…