Wajua maana ya ndoa? wacha matuzi bibie tuheshimiane!Wewe ni kizungurukamoto. kwanza unaishije na mchumba kama siyo uasherati aka uzinzi. Huyo nae alale tena afunge domo lake aisjaribu kukuuliza, alipashwa awe kwao kalala. Faida ya kuishi bila ndoa mtaijuitia!
Kwani aikiwa na mimba ndo inakuwa tamu zaidi? Okfi / nijibu na naenda kumsumbua sasa wifi / shemeji yako.Acha kusingizia umeme na charting she is supporsed to be among ur first priorities nenda kalale hata kama yeye ameshalala muda mrefu na uache kumtesa mwenzio kwa nuno zisizo za lazima na hivi ana mimba ndio kabisa hutakiwi kumfanyia vituko, treat her good, badilika
Yah inakuwa tamu sana nenda kamsumbue alafu ulete feedback, na usiishie leo tu badilika na kuwa baba mtarajiwa mwema uache hiyo tabia yako mbayaKwani aikiwa na mimba ndo inakuwa tamu zaidi? Okfi / nijibu na naenda kumsumbua sasa wifi / shemeji yako.
Unapenda charting kuliko mpenzi wako?unachart na nani sasa, embu ona ulikuwa na sababu ya kuanzisha thread mida hiyo? si ungeenda kwa mpenzi wakoHata sasa hivi bibie kalala, napenda charting dugu,
<br />Charting inanipanua mawazo, mambo ya kwa bed unajua kipi kinafanyika - no gaining
<br />Unapenda charting kuliko mpenzi wako?unachart na nani sasa, embu ona ulikuwa na sababu ya kuanzisha thread mida hiyo? si ungeenda kwa mpenzi wako
Mpaka sasa niko na laptop, mchumba kalala, ni kesi kwa kesho asubuhi, nisaidie mawazo!
we watu wanakuja na maujuzi mapya unasema n gain, haya no gain no painCharting inanipanua mawazo, mambo ya kwa bed unajua kipi kinafanyika - no gaining