Nachelewa sana kukojoa na kumkera mpenzi wangu. Nifanye nini twende sawa?

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
Za asubuhi washilika wa jukwaa hili?

Wadau naombeni msaada wenu , wadau nimekuwa natabia yakufanya mgegedo mda mrefu sana bila kufunga goli inayopelekea mwenzangu kulaumu sana kuwa amechoka ilihali mwenzake bado natamani kuendelea na hii inaweza kuwa tumefanya sichini ya dakika 45 hapo unakuta dalili ya goli bado haipo kabsa!!

Wadau nashindwa kuelewa kama hilo nalo kama nitatizo na kama nitatizo napaswa nifanye nini ili kuhakikisha naenda sawa na mpenzi wangu?

Kama kuna mtu nitamuudhi natanguliza samahani kwa sababu kwa mda mrefu nimevumilia nimeshindwa nmeona nifunguke tu!
 
duuh dkika 45 ndugu una pafu la mbwa nn?
 
Anza na punyeto kwanza itumie km tiba ujifahamu vizuri
Onyo:angalia isije kukunogea maana huwa addicted sana mwisho wa siku ukaja kuanzisha thread za kuomba ushauri jinsi ya kuacha puli
Kaka punyto mbaya sana aise
 
Ukiona hivyo hakupendi na hafurahii kuwa faraga na wewe
 
dogo acha mchezo wa NYETO mara moja hili tatizo litakwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…