Mwanga Mkali JF-Expert Member Joined Jul 8, 2018 Posts 1,302 Reaction score 2,473 Feb 10, 2021 #21 Intaplex said: Kila siku serikali inaongeza ugumu katika uagizaji wa magari ama kwa kuongeza Kodi au kuleta complication tu zitakazo ongeza urasimu usio na sababu ila lengo Ni kuwaumiza raia tu hamna kingine Click to expand... Miradi ya kimkakati inahitaji hela... Ni kukamuliwa mwanzo mwisho.
Intaplex said: Kila siku serikali inaongeza ugumu katika uagizaji wa magari ama kwa kuongeza Kodi au kuleta complication tu zitakazo ongeza urasimu usio na sababu ila lengo Ni kuwaumiza raia tu hamna kingine Click to expand... Miradi ya kimkakati inahitaji hela... Ni kukamuliwa mwanzo mwisho.
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Feb 24, 2021 #22 Kwan si bado haujaanza....?! Tusubirie uanze then tutafahamu shida ipo wapi. Kwa sasa nyie chuneni msiseme lolote.
Kwan si bado haujaanza....?! Tusubirie uanze then tutafahamu shida ipo wapi. Kwa sasa nyie chuneni msiseme lolote.