Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Kama ni kitu nachokiihisi UEFA NI KUTAKA JUVENTUS NA BARCA WAINGIE FAINALI
Yaani MESSI vs RONALDO
kama ilivyokuwa mwaka jana BARCA kupewa Roma kwa bahati tu alikanyagwa ila lengo lilikuwa hilo hilo
je nyie mnalionaje kwa sisi wanazi wa EPL maana nahisi watatupanga uso kea uso