Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Mawazo mgando hayo.....hakuna chochote kinachopangwa kutokana na uelewa wako.....itachezeshwa draw kesho na hakuna anayejua ni nani atacheza na nani.Kama ni kitu nachokiihisi UEFA NI KUTAKA JUVENTUS NA BARCA WAINGIE FAINALI
Yaani MESSI vs RONALDO
kama ilivyokuwa mwaka jana BARCA kupewa Roma kwa bahati tu alikanyagwa ila lengo lilikuwa hilo hilo
je nyie mnalionaje kwa sisi wanazi wa EPL maana nahisi watatupanga uso kea uso
Yaani nchi moja iingize nusu ya timu za robo fainali halafu ikose kombe?Naweza kusema tu kwamba whatever it will, Kombe linaenda Uingereza tu mwaka huu hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ wewe jamaa akili zako unazijua mwenyew"Uso kea uso" lazima utakua shabiki wa Man U.
Tulia upewe dawa, muda wa kubahatisha umekwisha!
- KANA -
Barca hafiki kokote baasi tu alipata kitonga jana
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Mawazo mgando hayo.....hakuna chochote kinachopangwa kutokana na uelewa wako.....itachezeshwa draw kesho na hakuna anayejua ni nani atacheza na nani.