Nachopendea pombe kali zinaleta njaa

Tofauti na bia ambazo ukinywa tatu hutamani kula ila ukipiga konyagi yako au k vant kwanza huna wasiwasi wa kupata kisukari pia nyama unapiga vzr kitimoto kilo unaimaliza ila sio kwa bia.
Maada tayari.
Mkuu

waonee huruma vijana ambao wanaweza kushawishika na kuishia kwenye uraibu wa pombe.
 
Tofauti na bia ambazo ukinywa tatu hutamani kula ila ukipiga konyagi yako au k vant kwanza huna wasiwasi wa kupata kisukari pia nyama unapiga vzr kitimoto kilo unaimaliza ila sio kwa bia.
Maada tayari.
Mkuu; Pombe kali (40-80% ABV) zina Faida na Hasara zake. Kwa mimi naona Hasara ni kubwa kuliko faida. Faida ni kwamba unapata matokeo yake chap-chap.i.e Unatoa "lock" fasta lakini Hasara zake ni polepole na kwa muda mrefu. Mojawapo ya hasara unayotakiwa uijue ni (kama umeshakuwa Addicted) kuharibu Ini, Figo na Ubongo/Akili. Magonjwa hayo yameanza kushika kasi hivi karibuni na yanapamba moto. Pombe kali zinaharakisha Uzee. You look Older than Ur Real age. Lakini (Angalizo)kwa wanywaji wenzagu Usilewe mchana maana unaweza kujifedhehesha/kujidhalilisha au kuzua tafrani/mtafaruku usio wa lazima.
Sijasema usinywe au uache kunywa la hasha. Kunywa lakini hilo uliweke akilini ukizingatia kwamba unakunywa Pombe na sio Pombe inakukunywa wewe. Kunywa kistaarabu huku ukiijali Afya yako na FAMILIA yako. Ulaji wa nyama nyingi kupita kiasi ni kuutesa mwili. Nyama haihifadhiwi mwilini na inatumia nguvu nyingi kuichakata ndani ya mwili.i.e ni wastage of food resources and is uneconomical.
Karibuni mm nipo hapa kwa mama John (karibu na Mafiat)napata ka-ulanzi mdindif kidogo.🤣
 
Mama john na mafiat sio karibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…