Nachopendea pombe kali zinaleta njaa

Mkuu; Pombe kali (40-80% ABV) zina Faida na Hasara zake. Kwa mimi naona Hasara ni kubwa kuliko faida. Faida ni kwamba unapata matokeo yake chap-chap.i.e Unatoa "lock" fasta lakini Hasara zake ni polepole na kwa muda mrefu...🤣
Sorry,mafiat Iringa ipo pande zipi?
Nilisoma Iringa miaka ya nyuma,sikuwahi kuikia huo mtaa.
 
Tofauti na bia ambazo ukinywa tatu hutamani kula ila ukipiga konyagi yako au k vant kwanza huna wasiwasi wa kupata kisukari pia nyama unapiga vzr kitimoto kilo unaimaliza ila sio kwa bia.
Maada tayari.
Kisukari unapata inaharibu kongosho inayo regulate sugar kwa mwili usijidanganye
 
Mkuu hapa mimi ni shahidi asie wa mchongo, Nikiwa Niko neutral appetite kwangu inakuwa chini sana ila nikipata kali chupa moja tu Nakula kama Mchwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…