Nachora picha ya penseli kwa bei poa sana

Tuna omba tuone baadhi ya kazi zako ulizowahi kufanya
 
Kiongozi, Hongera sana kwa kuwa na hicho kipaji
ili kup[ata wateja; Weka picha halisi ya mtu na weka picha uliyoichora ya hiyo picha
Hapo ndio utakuwa umejitangaza vizuri....
I think nimesom comments za wadau nimeona muamko wengi mmenitak niweke picha ok ngoja nipandishe picha boss
 
Mchoraji wa picha kali za black and white pure art ilichorwa kwa mkono nichek 0712068462 isaack.artz

 
Nimecheki insta , uko na kazi nzuri sana nitakucheki nikiwa vizuri uwa napenda picha yaan the big one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…