Nachotaka ni zile Rasimu za Jaji Warioba 1 & 2 tu, zifanyiwe kazi tupate Katiba Mpya

Joined
Aug 5, 2019
Posts
64
Reaction score
93
Binafsi kuhusu #KatibaMpya, nataka ije leo kesho ila ambacho SITAKI ni kuanza upya kwa mchakato yaani tuanze tena kuchukua maoni ya wananchi na kutengeneza rasimu nyingine,nachotaka ni zile Rasimu za Jaji Warioba 1 & 2 tu, zifanyiwe kazi tupate Katiba Mpya nzuri na wasiirejee ile Katiba pendekezwa maana ni madudu tena yale yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…