Nachukia hii sana......!!

inaboa sana..yaan sana hiyo MIMI PIA...........wewe pia nini??????? jieleze mtoto wa kiume ufurahishe nafsi ya mpenzio.
 
kwa kweli hata na mimi siipendi hiyo tabia.kama mpo mbalimbali,unajitahidi kuandikaa weeeeeeeeeee,unajibiwa kimkato.s.times hutafsiri kama dharau fulani,ingawa pengine sivyo.msg yenye mapenzi,hata kama mpenzi wako yuko mbali na wewe,ukiisoma tu unajihisi kama upo nae karibu.maybe wengine ni tabia zao,hawajayazoea mambo ya msg ndefu
 
Haha BB mie ni kinyume huwa mvivu wa kujibu sms, ila nachukia nikiwa nina ongea maongezi marefu mtu anijubu nimekusikia samahani napenda anilezee na yeye kwa kirefu kiasi
 

BB,

Labda hujakutana nao. Amini usiamini kuna wanaume wanajua kuimba pambia hakuna mfano!! Omba ukutane na mmoja wa namna hiyo. Hata hivyo nahofia unaweza kumchoka haraka!!


Mzee DC
 
Basi ingawa uoneshe affection kwa kujielezea kidogo hata unapokosa sio bb im sorry ukiongea tena kanyamaza ina maana kamaliza ukizidi unastukia anaanza kukukiss then mna do kamaliza kesi

Dah!
pole kwa yote, labda ndio asili yake huyo mtu
 

Mbu,

Kweli mkuu...Umenikumbusha hayo mambo ya cross-examination!! Wanawake ni wazuri sana kwenye hayo mambo na kama mwanamume si mjanja basi unaweza kujikuta unachanganya majiografia kirahisi sana....Kama mtu huwezi kuweka kumbukumbu vizuri bora utoe maneno machache ili kukwepa ku-erode data!
 
Kumbe pia kutoongea sana ni kuogopa kuchanganya habari, looo shame on you wanaume
 
BB,

Labda hujakutana nao. Amini usiamini kuna wanaume wanajua kuimba pambia hakuna mfano!! Omba ukutane na mmoja wa namna hiyo. Hata hivyo nahofia unaweza kumchoka haraka!!


Mzee DC
Kwa kweli wanaoongea sana bila sababu mie siwapendi pia ila kama kuna kitu umeulizwa ujibu wa kina jamani
 
ni kweli huwa inauma coz most of them seems nt to care abt our feelings,...it really hurts.....they shuld change
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…