hivi ukute mwanamke amekuwekea sumu ukaponea hospitali au anakumwagia maji ya moto usingizini unategemea hutamwacha? au umeoa unakuja kukuta mke/mme ni mchawi anapaa usiku utaishi nae?
Bwana Mdogo,kuacha kupo ingawa mungu hapendi......ni mtazamo tu masela
hivi ukute mwanamke amekuwekea sumu ukaponea hospitali au anakumwagia maji ya moto usingizini unategemea hutamwacha? au umeoa unakuja kukuta mke/mme ni mchawi anapaa usiku utaishi nae?
Bwana Mdogo,
Nakuomba sana tuheshimiane...
Masela ni nani....Usitukane watu we Kijana!
No real love in this world..ndio maana!
:thumb:naunga mkona hoja, tuko kingono zaidimalavidavi ya ukweli ukweli yapo ila people tuna bugi tu
mihemko inatupeleka fasta tunakuwa tunafikiri kwa vifanyio badala ya ma brain
1 Wakorintho 7: 1-7 KUHUSU NDOA:
Neno la Mungu linasema hivi: Ni vema mwanaume asimguse mwanamke.Lakini ili kuepuka zinaa,kila mwanaume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.Mume atumize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe,naye vivyo hivyo kwa mumewe.Mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake bali mumewe,wala mwanaume hana mamlaka mamlaka juu ya mwili wake bali mkewe.Msinyimane,isipokuwa mmekubaliana kufanya hivyo kwa muda fulani ili mweze kujitoa kwa maombi,kisha mrudiane tena ili shetani asije akapata nafasi ya kuwajaribu kwa sababu ya kutokuwa na kiasi.
1Petro 2:8
Kadhalika ninyi wake,watiini waume zenu,ili kama wako wasioamini lile neno,wapate kuvutwa na mwenendo wa wake zao pasipo neno kwa kuuona utakatifu na uchaji wa Mungu katika maisha yenu.Kujipamba kwenu kusiwe kwa nje tu,kama vile kusuka nywele,kuvalia vitu vilivyofanyizwa kwa dhahabu na mavazi.Badala yake kujipamba kwenu kuwe kuwe katika utu wenu wa ndani,kwa uzuri usioharibika,wa roho ya upole na utulivu,amabako ni kwa thamani sana machoni pa MUngu.Kwa kuwa hivi ndivyo walivyokuwa wakijipamba wanawake watakatifu wa zamani,waliomtumaini Mungu.Wao walikuwa watiifu kwa waume zao kama Sara alivyomtiii mumewe ABraham....................
Vivyo hivyo ninyi waume kaeni na wake zenu kwa AKILI,nanyi wapeni HESHIMA mkitambua ya kuwa wao ni wenzi walio dhaifu na kama warithi pamoja nanyi wa kipawa cha thamani cha uzima,ili kusiwepo na chochote cha kuzuia maombi yenu.
Nafikiri una majibu,watu wanaachana kwa kukosekana kwa hayo Mungu aliyosema kupitia Mtume Petro.:A S 465:
kwanza nikushukuru sana dada michelle kwa chango huu mzuri na wa kweli kabisa unaobeba ushauri sahihi kabisa
pili kifungu cha neno la Mungu ulicho nukuu kinapatikana katika 1 Petro 3:1-7 na sio 1Petro 2:8, nadhani ni typing error tu.
halafu mstari wa 6 ingependeza zaidi kama ungeendelea hadi hivi "Kama Sara alivyomtiii mumewe Abraham akamuita bwana...". kweli sote waume kwa wake tunapaswa kujishusha na kujinyeyekeza kwa wenza wetu na kuepua kwa namna yoyote kujikweza. kumuita mume bwana ni ishara ya unyenyekevu amabyo wanawake wenzangu wengi tumeikiuka na inapotokea reaction tunataka "haki sawa" kama jawabu. hapo ni kutia sumu kidonda na kamwe ndoa hazitapona kwa mashindano ya haki majumbani. nimeona mahali mtu anatafuta mchumba lakini anasema awe na angalau kadigrii! sasa katika mazingira kama hayo hiyo mwanmke tayari anipa shahada ya mwenzake jina la dhihaka, tayari amejiinua na ameutupa mkno unyenyekevu, kama kweli akimpata huyo mwenye kadigree wakafunga ndoa, hiyo ndoa ikivunjika huko mbe watamlaumu nani? nakumbusha wenzangu tujifunze unyenyekevu kutoka kwa mam yetu sara
Bwana Mdogo,
Nakuomba sana tuheshimiane...
Masela ni nani....Usitukane watu we Kijana!
I believe unyenyekevu kwa wanawake wa zamani ulichangiwa na heshima ya wanaume kwa wanawake zao.,sa hv unaeza kua mnyenyekevu and end up being trtd like a drum,or somethng for disposal..kuachana is a two way traffic,Men and Women have changed sana tu!
I believe it starts from the heart,if people could have a different perception 2wardz the opposite sex then things could change,.charity starts at home,kama utaeza kumrespct ur mum,aunty,sister,wife,those around you(for the men)you can change what you feel for others of their kind and having dignity-conciousness,sio tu wanawake wanatakiwa waheshm miili yao,guys have to do that to..co kila gal anajua who you are,even the bible says that..and for the women,.respect,wisdom,knowledge..being empowered doesnt mean ruling men but having a stand on wateva you do,knowing wat u want,a gud mum,and a gud yf..ok my dear, what can be done now to rehabilitate the situation?