Aisee kuna siku nilikwenda kumtembelea jamaa mmoja tulisoma wote, ameoa sasa,
Ile kufika nikakuta jamaa ananing'inia mlangoni alafu mkewe yupo juu ya friji, nikauliza nini kinaendelea?,
Mkewe akajibu usipite mlangoni kuna mende!!
Nikashangaa "mende!!!?π€
Kweli kuangalia chini nikamuona mende akiwa amejazia jazia,
Nikacheka kicheko kizito kwa dharau
HA HA HA HAAAH
huku yule jamaa akiendelea kuning'inia pale juu ya mlango,
Nikataka kumshika yule mende,
Nilishtushwa na sauti kali ya yule jamaa, "Oyaah usimshikeeh"
HEHEHEEEH nilicheka kicheko kizito Nikasema tulia kijana bado hujaona,
BAADA YA DK 10 YULE JAMAA ALIZIMIA, TUKO HOSPITAL SASA HIVI CHUMBA MAHUTUTI, Mimi na mkewe tupo hapa nje,
KILICHOFANYA JAMAA AZIME,
Basi nikamkamata yule mende,
Mezani kulikua na chakula,
Nikasogea mpaka mezani kisha nikamuweka yule mende, nikachukua glass ya juice, nikamkamata yule mende, kisha nikamminya kwa nguvu hadi akatoa yale maziwa meupe, kisha nikakinga glass ya juice mpaka yalivyoisha,
Nikapiga funda moja kisha nikasema "HEWAAA HII NDIO YENYEWE"
huku yule jamaa akining'inia mlangoni na mkewe wakiwa hawaamini wanachokiona,
Nikakusanya hotpot zote kisha nikachukua yule mende aliyesagwa kwa mkono alafu nikamchanganya kwenye mboga pamoja na minyama ya kuku, nikajipakulia na kuanza kula, pamoja na juice ya embe iliyochanganywa na maziwa ya mende,
Ghafla nikasikia kishindo kizito "Puuuuhhh" alikua yule jamaa anayening'inia mlangoni.
Kama wewe kidume umesoma hii alafu ukatapika,kutema mate,kusikia kichefuchefu basi lazima utakuwa mwanaume wa dar,
Wanawake mtanisamehe!πππ
πππππππππ