Jakubumba
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 1,624
- 501
Kila ninapomtokea msichana ananiambia ngoja nikafikilie nitakupa jibu, nasubili weeee namkumbushia tena ananipa jibu hilo hilo. Baadaaae anakubali tena kwa mbinde sana wakati upendo wangu unaanza kupungua kwa jinsi alivyonisumbua huku namlove. Hivi ninyi akina dada hisia zenu za upendo huwa ziko maili ngapi?