Atembee kwenda wapi da Black W.........,au ndio kwenda msituni kutafuta mshale,by the way black woman is not real black.500....tembea iwe 0
Kila ninapomtokea msichana ananiambia ngoja nikafikilie nitakupa jibu, nasubili weeee namkumbushia tena ananipa jibu hilo hilo. Baadaaae anakubali tena kwa mbinde sana wakati upendo wangu unaanza kupungua kwa jinsi alivyonisumbua huku namlove. Hivi ninyi akina dada hisia zenu za upendo huwa ziko maili ngapi?
like it!!!!kama mdada mwenyewe hakufahamu, unataka tu akupe yes???!!!! Ninaamini kuwa upendo ambao umeanzia kwenye urafiki huwa unadumu..........hapa nina maana, mnahitaji kuwa marafiki kwanza,....then something beautiful can develop from that friendship............
Kila ninapomtokea msichana ananiambia ngoja nikafikilie nitakupa jibu, nasubili weeee namkumbushia tena ananipa jibu hilo hilo. Baadaaae anakubali tena kwa mbinde sana wakati upendo wangu unaanza kupungua kwa jinsi alivyonisumbua huku namlove. Hivi ninyi akina dada hisia zenu za upendo huwa ziko maili ngapi?
asante mi sina neno tena hapoKama mdada mwenyewe hakufahamu, unataka tu akupe YES???!!!! Ninaamini kuwa upendo ambao umeanzia kwenye urafiki huwa unadumu..........hapa nina maana, mnahitaji kuwa marafiki kwanza,....then something beautiful can develop from that friendship............
Baadae inakuwa kama kumsukuma mlevi tu.most women like to play hard to get...