Nachukizwa na Utaratibu wa NECTA Kuweka Namba Badala ya Majina Kamili kwenye Matokeo

Window7

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
4,098
Reaction score
3,038
Huu utaratibu sio mzuri kwa mustakabali wa elimu nchini.

NECTA rudisheni utaratibu wa majina kwenye matokeo kuna baadhi ya vijana wanatumia mwanya wa namba pekee kudanganya wazazi na walezi wao juu ya matokeo yao halisi.
 
Utadanganya vipi hayo matokeo?? si kuna kwenda form 5 nk...
Hata wazazi wasioenda shule hawadanganyiki sembuse waliosoma...
Tokeo la 4m4,6 halifichikiii kwa sabau ni determinant factor kubwa kwenda form 5 na chuo,
myb chuo ndo unaeza sema una first class hata km una pass,cz kazi kupata utafanya kama wanachuo wengine wowote
 
Inshu ilianzia kwa mtoto wa kaya kutia aibu kwenye matokeo yake. Kws kweli hali ile kama familia ya rahisi wetu mtukufu ilidhalilishwa sana
 
Kweli sio mzuri kuna dogo hapa home kagoma kutaja namba yake so hatujui kavuna nn maana shule yao ina IV na 0 tu sa hatujui katoka na buyu a.k.a V au atapata angalau cheti
 
Yes hiki ndio kilikuwa chanzo cha kuondoa majina na kuleta namba. Kwangu mimi ni vizuri kutumia majina badala ya namba.

Tiba
 
Sio kweli hata waliomaliza form four 2006 na form 6 2009 pia matokeo yetu yalikuwa na namba tu bila majina kama mnabisha yatafuteni mtaona.
 
Inshu ilianzia kwa mtoto wa kaya kutia aibu kwenye matokeo yake. Kws kweli hali ile kama familia ya rahisi wetu mtukufu ilidhalilishwa sana

Sio kweli angalieni hata form 4 ya 2006 na matokeo ya form 6 2009 hayana majina iyo ishu ilikuwepo hata zamani ila ilikuwa mara chache ila naona sikuiz wameiweka rasmi.
 
Kipindi chenu waliweka namba...wakarudisha majina..baada ya mda wakarudisha namba baada ya mtoto wa MKUU KUPATA 4...sasa wamerudisha namba
 
Kweli sio mzuri kuna dogo hapa home kagoma kutaja namba yake so hatujui kavuna nn maana shule yao ina IV na 0 tu sa hatujui katoka na buyu a.k.a V au atapata angalau cheti

Hata me kilichonikera ni kwamba dogo kazima simu tangu matokeo yatangazwe yaani hapa sijui dogo kapata ngapi na yuko mbali kidogo. Hii inakera sana
 
Kipindi chenu waliweka namba...wakarudisha majina..baada ya mda wakarudisha namba baada ya mtoto wa MKUU KUPATA 4...sasa wamerudisha namba

Kwa hiyo mtoto wa kaya ndio kavuruga utaratibu siyo?
 
Hata me kilichonikera ni kwamba dogo kazima simu tangu matokeo yatangazwe yaani hapa sijui dogo kapata ngapi na yuko mbali kidogo. Hii inakera sana

Yani sisi yuko home na kagoma kutaja namba mbaya zaidi kasoma shule ya kata bush huko hata namba ya mwalimu mkuu wao hatuna atleast tungemuulizia.
 
Utadanganya vipi hayo matokeo?? si kuna kwenda form 5 nk...
Hata wazazi wasioenda shule hawadanganyiki sembuse waliosoma...
Tokeo la 4m4,6 halifichikiii kwa sabau ni determinant factor kubwa kwenda form 5 na chuo,
myb chuo ndo unaeza sema una first class hata km una pass,cz kazi kupata utafanya kama wanachuo wengine wowote

Unajua mwingine hadanganyi total bali hatoi taarifa sahihi kwa wakati. Mfano unamuuliza kijana umepata ngapi anaanza mara ooh div four, mara kutaja point ajishike mara mbilimbili, kama ni kwenye simu ndio mpaka salio litakwisha au akate kabisa ili tu asiseme kwa muda huo. Lakini matokeo yangekua na jina mbona tungefahamu matokeo yao mapema tu.
 
sio kweli hata waliomaliza form four 2006 na form 6 2009 pia matokeo yetu yalikuwa na namba tu bila majina kama mnabisha yatafuteni mtaona.
oh my dear god kumbe waweza bishana humu na mwanao?
 
Yani sisi yuko home na kagoma kutaja namba mbaya zaidi kasoma shule ya kata bush huko hata namba ya mwalimu mkuu wao hatuna atleast tungemuulizia.

Ha!ha. Yaani hawa NECTA wamewapa advantage sana vijana wasumbufu. Yaani me dogo ilikua daily simu mara bro hivi mara bro vilee. Sasa kwa nini kwenye matokeo anagoma kuleta info kamili? Anyway huenda kapata shock kutokana na matokeo mazuri sana au mabaya sana.
 
Back
Top Bottom