Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Wanabodi,nimekuwa nakumbana na tatizo hili mara kadhaa sasa.
Pindi tunapo kutana na mwenzi wangu kwa tendo,inanichukua muda mrefu "kusimamisha",na baada ya tendo,inanichukua muda pia kwenda round ya 2, 3, 4 n.k.
Nimehc ths is abnormal, kwani mwanzo, I was easily aroused, na hli linamkera mke wangu much!
Naomba msaada juu ya hili.