Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Mnahitaji msaada wa kisaikolojia.
Maana kuwa na mwenzio na kutokusimama hili ni tatizo jingine pia.
Na pia inategemea kwamba mnatabia ya kukutana mara ngapi kwa wiki.
Kiafya inashauriwa zaidi ya mara mbili kwa wiki.
Pia umri wako,mnawatoto wangapi
Ila kwa sie waswahili inategemea mazingira mnayoishi,unajua kama mnaishi ktk mazingira ya kujazana kwenye nyumba za familia nalo ni tatizo,maana mnakuwa kama mpo jela,hamfanyi mapenzi hadi kwa timing.
Hapo kwenye round 2,3.4 nk...unamaanisha ngapi...? kusema ukweli kwa ufutiliaji wangu wa mambo....tendo la ndoa ili liwe productive linatakiwa kufanya round 2 au tatu tu ikizid kwa utalamu wa hali ya juu kila mtu aaridhike ...laki n hizo 3 ,4 tano n kujichosha na kumchosha mwenzako kisaikolojia tu..
Kweli wewe ni kiboko yao....!ahsante Dr.Mo,nahc hli ndlo tatzo le2.
Normally huwa tunaenda round 3,lkn kuna tym huwa tunaenda had round 5.
Je,hili lawezd kuwa sababu?
Infact,mara ya mwsho 2lienda 6 rounds,na baada ya hapo,kama wik 2 mfululizo najikuta mzto kuwa aroused,na 2kifka 2 rounds bas nakuwa hoi!
.......Study nyingi zinaonesha per day round tatu zinatosha na average time ni 7-10 mins ...hiyo ni satfactory to every health nomal human being na na ipo recommended pia atleast kwa week mara mbili...lakini haya mabo ya round 5 kila siku au mara nyingi kwa week....performancy inakuwa ndogo sana hasa kwenye kumridhisha mwenza.....so wakati mwingine inaweza hata kukufanya uone una sexual dysfunction.....ahsante Dr.Mo,nahc hli ndlo tatzo le2.
Normally huwa tunaenda round 3,lkn kuna tym huwa tunaenda had round 5.
Je,hili lawezd kuwa sababu?
Infact,mara ya mwsho 2lienda 6 rounds,na baada ya hapo,kama wik 2 mfululizo najikuta mzto kuwa aroused,na 2kifka 2 rounds bas nakuwa hoi!
ahsante Dr.Mo,nahc hli ndlo tatzo le2.
Normally huwa tunaenda round 3,lkn kuna tym huwa tunaenda had round 5.
Je,hili lawezd kuwa sababu?
Infact,mara ya mwsho 2lienda 6 rounds,na baada ya hapo,kama wik 2 mfululizo najikuta mzto kuwa aroused,na 2kifka 2 rounds bas nakuwa hoi!
Aliyekuambia unachelewa nani? Huwa unawaangalizia wanamme wenzio?
Acha kujipa presha za bure, kwani manyo ya kusimamisha inasemaje?
Mmmmmh dada nawe!!!!!!!
Kijana naona ndo kavunja ungo sasa ni kama jenereta haijiulizi kama inawashwa mchana wala usiku na kama inawashwa kwa manufaa au ni mtoto anaichezea!!!!
Yaani hata kama haina mafuta ikivutwa kamba inajaribu kuwaka
Round 6, umekuwa kuku?
Yaani vijana mnajichosha, mnajichosha bure tu
Sasa braz unaenda mpaka round 6 hzo nguvu unazireplace vp?ni hatari hyo kwa afya yako!try to eat energetic foods and stop doing it 4 about 3 to 4 day u wil regain i hope!
.......Study nyingi zinaonesha per day round tatu zinatosha na average time ni 7-10 mins ...hiyo ni satfactory to every health nomal human being na na ipo recommended pia atleast kwa week mara mbili...lakini haya mabo ya round 5 kila siku au mara nyingi kwa week....performancy inakuwa ndogo sana hasa kwenye kumridhisha mwenza.....so wakati mwingine inaweza hata kukufanya uone una sexual dysfunction.....