NACTE admission za vyuo vya Afya 2021/2022 toeni majina ya waliochaguliwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
 
Hivi kwanini michadema ni mibinafsi? Kila siku ni sredi hizi. Umesoma calendar yao kwenye website yao nacte.go.tz
 
Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
Tokea juzi nasikia yametoka ila sioni hiyo list iko wapi
 
Si kweli website ya NACTE iko silent on that
 
Back
Top Bottom