NACTE/CAS tuongezeni wiki moja

NACTE/CAS tuongezeni wiki moja

nyaafu

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
155
Reaction score
18
Salaam sana wapendwa!
Nimeangaika kufanya registration ya undergraduate on line kwa equivalent zangu lakini mtandao unasumbua sana na muda ndo umekwisha hivo.

Nimekwisha lipia 50,000/= kwa m-pesa takribani wiki moja. Naangaika sana kuingia mara network error mara vile mpaka muda umekwisha sijamaliza hatua za mwisho.

Ombi langu kwenu hapo TCU/NACTE tupeni wiki moja tukamilishe huu mchakato vinginevyo tutakuwa tumepoteza muda wetu bure na pesa pia.
 
wengine tupo vijijini na kwenda mjini unakutana na hali ya mtandao kuwa down
 
Ulikuwa wapi muda wote huo.

Mkuu maisha hayana formula wazo la kwenda shule linaambatana na fursa inapojitokeza.hivyo muda wowote binadamu anaweza kufanya maamuzi.cha msingi mfumo wa mtandao uwe speed na siyo vinginevyo
 
wengine tupo vijijini na kwenda mjini unakutana na hali ya mtandao kuwa down

Kaka miye uko sawa kabisa.hayo ndo yaliyonikuta Mimi. sasa mjumbe mmoja kasema niende Nacte na vyeti vyote
 
hili tatizo limewakuta wengi sana jamaa yangu hadi jana usiku imegoma kabisa
 
hili tatizo limewakuta wengi sana jamaa yangu hadi jana usiku imegoma kabisa

Dah! Ni kama mimi jana nilitumia zaidi ya masaa 16 niko busy likini mpaka inafika saa sita usiku hakuna mtandao wao unazunguka tu.nimeambiwa niende NACTE na vyeti vyangu watanisaidie.
 
So nimesoma tangazo lao kuwa no July 31?. Imekuwaje ttena
 
Nawashukuru sana wote mliochangia hakika nimepata nguvu maana nilikuwa nimeumia sana 50,000/= ipotee hivi hivi Yuzhonai
 
Last edited by a moderator:
Congratulation for successfully completed online admission into Bachelor Degree Programmes in Tanzania.​
At any time before 13/07/2014 You can modify your choices by clicking Profile link found on navigation bar above this page.
hongera mkuu ombi lako limesikilizwa ...deadline ni tarehe hiyo sasa
 
Mungu ni mwema sana! Ubarikiwe sana kwa kuifanya siku yangu kuwa ya kheri na amani.Tanzania tukiamua kila kitu kinawezekana.nawashukuru sana nacte
 
Mungu ni mwema sana! Ubarikiwe sana kwa kuifanya siku yangu kuwa ya kheri na amani.Tanzania tukiamua kila kitu kinawezekana.nawashukuru sana nacte

na sasa imesogezwa tena mpaka 30/07/2014 ....ukiingia kwenye account yako utaona
 
usajili wa NACTE ni rahisi sana, dakika chache 2 umemaliza
 
Back
Top Bottom