Ulikuwa wapi muda wote huo.
nenda NACTE na vyeti vyako vyote
wengine tupo vijijini na kwenda mjini unakutana na hali ya mtandao kuwa down
hili tatizo limewakuta wengi sana jamaa yangu hadi jana usiku imegoma kabisa
So nimesoma tangazo lao kuwa no July 31?. Imekuwaje ttena
Congratulation for successfully completed online admission into Bachelor Degree Programmes in Tanzania.At any time before 13/07/2014 You can modify your choices by clicking Profile link found on navigation bar above this page.hongera mkuu ombi lako limesikilizwa ...deadline ni tarehe hiyo sasa
Mungu ni mwema sana! Ubarikiwe sana kwa kuifanya siku yangu kuwa ya kheri na amani.Tanzania tukiamua kila kitu kinawezekana.nawashukuru sana nacte