tuelekeze mkuu wengne toka juma tatu ni wait confirmation
Kwan pale kwenye website ya tcu mmeangalia mkakosa majina? au mpka confirmation ya profile,,mana mm kwenye profile langu bdo confirmation lakn kwenye website lipo jina sasa hapo sijaelewa
kwan pale kwenye website ya tcu mmeangalia mkakosa majina? Au mpka confirmation ya profile,,mana mm kwenye profile langu bdo confirmation lakn kwenye website lipo jina sasa hapo sijaelewa
yaaan mfano wanaosubiri comfirmataxn angalia web ya chuo mf UDOM utaona wemetoa 2nd batch so jiangalie kule utajikuta kama inaonyesha upo selected UDOM bt notyet na kwa vyuo vingne ni hvyohvyo