A Anonymous Guest Aug 9, 2024 #1 NACTE Dar es Salaam wana huduma mbovu sana, ukipiga simu hawapokei haswa customer care unaweza kuwapigia hata mwezi bila kupokea simu, pia hata ukifika ofisini kwao wapo bize na mambo yao tu.
NACTE Dar es Salaam wana huduma mbovu sana, ukipiga simu hawapokei haswa customer care unaweza kuwapigia hata mwezi bila kupokea simu, pia hata ukifika ofisini kwao wapo bize na mambo yao tu.
mwanamwana JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,309 Reaction score 4,798 Aug 11, 2024 #2 Taasisi nyingi za Serikali huduma hasa kwa wateja ni mbovu mno.
C Camp 05 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 3,016 Reaction score 2,883 Aug 11, 2024 #3 Mikopo nyonya damu na kukosa matumaini ya kesho,pia unaona watu wanapiga pesa wewe unasoma gazeti inakuwaje hii.
Mikopo nyonya damu na kukosa matumaini ya kesho,pia unaona watu wanapiga pesa wewe unasoma gazeti inakuwaje hii.