Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa bora watoe tujue tuko position gani?
waliomba NACTE nawafahamu kama 3 wamepata nafasi za vyuo na wameangalia kwenye vyuo husika. Mmoja kapata SUA kati ya vyuo alivyoviomba na mwingine kapata RUCO upande wa sheria kama alivyomba. Cha kufanya ni kuingia kwenye website za vyuo ulivyoomba na kuangalia orodha ya wanaotarajiwa kujiunga undergraduate 2013/2014

na mimi walioomba kwa nacte nawajua kama 20 hivi na mimi nikiwemo ambao tumeangalia vyuo tulivyochaguliwa na hatukuona majina na katika list ya waliokosa hatukuwemo pia.