NACTE date 6/9/2013.watatoa selection

Sijaelewa,yaani waliotumia equivalent ndo post zinatoka tarehe hyo, nisaidie maana sijielew
 
Kweli kabisa bora watoe tujue tuko position gani?

Mbona hii kitu inachanganya sana!? Wengine tulishajua kupitia kwenye vyuo tulivyochagua sasa inakuwaje? Wasijekutubadilishia hawa matutusa??? Sasa hivi habari ya muhimu ni HESLB hawa wengine kama wanatuchosha tu!!
 
waliomba NACTE nawafahamu kama 3 wamepata nafasi za vyuo na wameangalia kwenye vyuo husika. Mmoja kapata SUA kati ya vyuo alivyoviomba na mwingine kapata RUCO upande wa sheria kama alivyomba. Cha kufanya ni kuingia kwenye website za vyuo ulivyoomba na kuangalia orodha ya wanaotarajiwa kujiunga undergraduate 2013/2014
 

na mimi walioomba kwa nacte nawajua kama 20 hivi na mimi nikiwemo ambao tumeangalia vyuo tulivyochaguliwa na hatukuona majina na katika list ya waliokosa hatukuwemo pia.
 
Jamani hata mimi niliomba kwa nacte lakin kwenye vyuo simo kwa waliokosa simo na sifa ninazo,tena nimeomba ualimu tena science,sielewi kabisa.
 

mwingine hapa kapata saut chaguo lake la kwanza
 
na mimi walioomba kwa nacte nawajua kama 20 hivi na mimi nikiwemo ambao tumeangalia vyuo tulivyochaguliwa na hatukuona majina na katika list ya waliokosa hatukuwemo pia.

vyuo vyote ulivyoviomba vimeshatoa selection na hujaona kote?mh kama ni hivyo,kuna walakini
 
DIT (Beng) bado so kama mdau wa hapo tusubiriii
 
sasa wamepeleka wap majina yenu?kama machaguo yako yote yameshatoa,umeangalia na haupo,mhh ni kali ya mwaka,mimi kuna mtu nilimuombea na amepata hilohilo chaguo la kwanza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…