Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,332
Juzi juzi niliandika haya baada ya kusoma tangazo la udahili la UDOM
Sasa leo nimekutana "THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION CERTIFICATE AND DIPLOMA PROGRAMMES OFFERED BY UNIVERSITIES ADMISSION GUIDEBOOK FOR 2020/2021" kwenye web page ya NACTE ambayo haikuwa na maelezo yeyote ukizingatia ni mara ya kwanza wanatoa document hii. Nikaangalia UDOM nikakuta mle ndani wana Certificate programs 7 na Diploma programs 20. Najiuliza kwa vijana wetu wafuate ipi-ya NACTE au UDOM . Sikutegemea kamazitakuwa tofauti.
Nikazama ndani kuangalia vigezo vilivyowekwa ili mtu adahiliwe na hapa nikagundua kuna tatizo, kwa mfano Diploma ya Information and Technology ambayo ni miaka 2 wameandika " Holder of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with Four (4) passes in non-religious subjects including pass D in English subjects" Lakini vigezo hivi ni vya Certificate course au Diploma course ya miaka 3. Pia utaona vigezo vyao vimewaacha wale form 6 kabisa kwa course hii. Kwa staili hii ndugu zangu tutafika? NACTE na UDOM wanatakiwa waliweke sawa.
Hata hivyo nawapongeza NACTE kwa kuanzisha hii guide book itasaidia wanao omba certificates na diploma vyuo vikuu lakini inahitaji marekebisho ili iwe msaada.
Masiya
JF-Expert Member
Apr 2, 20126,6512,000
Monday at 1:27 PM
Add bookmark
#5
Kama umegundua kuwa UDOM wamefutilia mbali programu za astashahada/certificate zote gonga like at random. Na diploma programs zimebakizwa 9 tu. Hivyo kama programu yako pendwa haipo na ulitamani kupiga hodi huko itabidi uwahi dirisha la NACTE kabla haliafungwa kwa mara ya mwisho.
kama za Diploma hutaziona mahali popote isipokuwa kwenye tangazo hili-hazina guide book.