jamani naombeni msaada nimesoma chuo cha Kampala ngazi ya certificate in public administration nikaomba nacte niendelee na diploma ya kitu kingine yani diploma ya community development Ila sijachaguliwa ,..nifanyeje?.hivi ni lazma kusomea nilicho soma certificate?
Daaaah pole sana kwanza ,,cha kufany nenda kama jamaa alivyokuelekeza tajwa hapo juu then baada ya hapo badilisha coz mapema maana courses nyng zmeanza kujaa
mdogo wang hakuchaguliwa kwa uzembe wa nacte wenyewe
iko hiv aliomba diploma kwa kutumia chet cha nta level4
na vigezo anavyo wao ktk msg wamesema anaitajika awe na prinsiple pass1 na sub ktk matokeo ya a'level hali yakua hakupita huko
ndipo wakabain hawakuigusa hile file yenye chet cha nta level4 baada ya kuangali matokeo ya o'level
ndipo wakasema basi aludishie yale machaguo asubilie third round na asipochaguliwa aende tena
me nafikili nacte mfumo bado mgeni kwao ndomana unaweza mkuta mtu anavigezo vyote huku capacity ikiwa iko chini na akakosa chance ikumbukwe hii ni mara ya 2 anakosa na sasa anaomba tena kwa mara nyinginine tena