Mkuu, kwani mambo ya Corona huyajui mbona unataka kuwa-undermine watu kwamba hawawajibiki..Kwa kawaida Mwezi March huwa linafunguliwa dirisha la vijana kuomba vyuo. Kuomba huku ndiko huwa kunapelekea vijana kuanza masomo mwezi wa kumi (10). Hii ndiyo huwa MAJOR intake. March imeisha na hakuna tangazo lolote la kufungua dirisha la udahili na vijana kuomba vyuo, kunani NACTE?
Kwa kawaida Mwezi March huwa linafunguliwa dirisha la vijana kuomba vyuo. Kuomba huku ndiko huwa kunapelekea vijana kuanza masomo mwezi wa kumi (10). Hii ndiyo huwa MAJOR intake. March imeisha na hakuna tangazo lolote la kufungua dirisha la udahili na vijana kuomba vyuo, kunani NACTE?
Nisaidie link ya kujaza self form mkuu kama hutojali.Major intake ni kuanzia mwezi june au july mkuu na ndio waombaji wakipata wanaanza masomo mwezi wa tisa na wakumi. Hii intake ya mwezi march ni ndogo na sana sana ni kwaajili ya vyuo binafsi lkn vya serikali vilivyochini ya nacte kama vya afya na ualimu si kawaida kuchukua intake ya mwezi wa tatu. Kwahiyo vuta subira mpaka mwezi wa tano kuendelea utapata muongozo. Pia kama ni mhitimu wa kidato cha nne 2019 kwasasa kuna zoezi linaloendelea kujaza upya self form online ambapo unaweza chagua vyuo au comb za kidato cha tano.
For March intake!Mwisho ilikuwa tarehe 20 wa pili labda waongeze siku
Mkuu me nahitaji kujua kuhusu mademu wakali tena weupe, wanapatikana hapo..,?
nimechelewa kuona comment yako ndugu. Ulishafanikiwa kujaza self form au bado?Nisaidie link ya kujaza self form mkuu kama hutojali.
Kwa kawaida Mwezi March huwa linafunguliwa dirisha la vijana kuomba vyuo. Kuomba huku ndiko huwa kunapelekea vijana kuanza masomo mwezi wa kumi (10). Hii ndiyo huwa MAJOR intake. March imeisha na hakuna tangazou lolote la kufungua dirisha la udahili na vijana kuomba vyuo, kunani NACTE?[ho chZokooz/QUOTE]
K
N
Nenda chrome andika neno selform.tamisemi.go.tzNisaidie link ya kujaza self form mkuu kama hutojali.
Bado mkuu...nisaidie nimsave dogo langunimechelewa kuona comment yako ndugu. Ulishafanikiwa kujaza self form au bado?
Shukrani
Mkuu mtandaoni /online kwenye website gani??nacte/wizara ya elimu/tamisemiMajor intake ni kuanzia mwezi june au july mkuu na ndio waombaji wakipata wanaanza masomo mwezi wa tisa na wakumi. Hii intake ya mwezi march ni ndogo na sana sana ni kwaajili ya vyuo binafsi lkn vya serikali vilivyochini ya nacte kama vya afya na ualimu si kawaida kuchukua intake ya mwezi wa tatu. Kwahiyo vuta subira mpaka mwezi wa tano kuendelea utapata muongozo. Pia kama ni mhitimu wa kidato cha nne 2019 kwasasa kuna zoezi linaloendelea kujaza upya self form online ambapo unaweza chagua vyuo au comb za kidato cha tano.
Itabidi wafungue maana wakumbuke kwamba wanaishi kwa kutegemea uwepo wa wanafunzi na sio pesa kutoka serikali kuuu. Ili tatizo la taasisi za serikaliMkuu, kwani mambo ya Corona huyajui mbona unataka kuwa-undermine watu kwamba hawawajibiki..
Kwanza toka lini NACTE wamewahi kufungua dirisha mda kama huu kwa intake ya October...
Tulizana, omba corona ipite mambo yatakuwa yente