NACTE mbona kimya

NACTE mbona kimya

Subiri tamko rasmi kutoka TCU then na nyie NACTE mtafuatia. Pia kama uliomba katika chuo ulichotoka na kozi ile ile uliyosoma Diploma, usiwe na hofu..
 
Hata mim nilitumia diploma ya education na niliomba educ hyohyo,basi hapa presha juu,maana nikifungua inagoma.
 
Back
Top Bottom