NACTE mbona kimya

lalisa

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
22
Reaction score
11
jamani ndugu zangu vp kuhusu Nacte kutoa selection za vyuo
 
Subiri tamko rasmi kutoka TCU then na nyie NACTE mtafuatia. Pia kama uliomba katika chuo ulichotoka na kozi ile ile uliyosoma Diploma, usiwe na hofu..
 
Hata mim nilitumia diploma ya education na niliomba educ hyohyo,basi hapa presha juu,maana nikifungua inagoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…