NACTE mbona profle zetu zinakuwa progres na selected

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
940
Reaction score
401
Habari zenu wana jf. . Msaada jamani mbna kwa wale tuliomba diplom udom kwenye profle zetu zimeandka chekng in progres afu ukingia kwenye orodha ya majina unakuta umechaguliwa wa then zinakuja entries 2?? Tatzo ni mim tu au. . Msaada jamani
 
ndugu hiv ukichaguliwa unatakiwa kuomba mkopo helsb? kama ndio hivyo mbona deadline 10sept2014 wkt matokeo yametoka 14sept2014?nisaidieni wadau
 
Mie naomba nitoe ufafanuzi kuhusu kinachoonekana kwenye profile yako. Ni hivi kwa ambao selected means wame chaguliwa katika course na chuo kilichoonywesha. Na wele checking in progress kuna mawili either hawana vigezo ama vigezo vyao bado vinaangaliwa kana vinafaa kuchaguliwa. Wahusika wanashugulikia swala letu kwa karibu muda si mrefu tutapata majibu sahihi.
 

wakayi majina wameishatoa .cha muhimu HESLB waongeze muda tupate kuomba mikopo jmn .
 
Chaajabu tena ukngia kwenye list ya majina ukiandka index namba wanaleta majna mawil mfano;BENSON MANALA na lingne BENSON JOHN MANALA af wakaweka na zile adrex ze2. .kunan jaman mbna celew, msaada wandugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…