ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Tunaushahidi kuwa unakuta jina la mwanafunzi leo lipo cha ajabu kesho unalikosa.Na space ya jina hilo ina jina jingine.Uzuri kila mlipokuwa mnatoa majina mimi nimeyasevu.Na yanazidi kuwa tofauti,kwa nini?