Nacte mmeanza kututisha,kwa nini mnabadilisha majina ya selected applicants??

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Tunaushahidi kuwa unakuta jina la mwanafunzi leo lipo cha ajabu kesho unalikosa.Na space ya jina hilo ina jina jingine.Uzuri kila mlipokuwa mnatoa majina mimi nimeyasevu.Na yanazidi kuwa tofauti,kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…