Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
wadau nacte wanatupa presha sana, ukiingia kwenye profile yako utakuta umechaguliwa chuo ila unatakiwa uconfirm sasa hiyo confirmation button ipo disabled na wamesema kama hutoconfirm mpaka tar.12 julai basi nafasi yako atapewa mwingine.. tujuzane jaman, hv ni nin kilichopo, tupate bas maelezo ya kutosha kuhusu hili anayejua zaid atujuze. 5f