ambaye haja confirm atachukuliwa kuwa hayupo tayari huenda amepata chuo kingine au anaenda form 5
washawapangia watu vyuo tayari tangu jumanne tar.8, na confirmation button imerudishwa kwa hiyo mambo yamekaa sawa,, namshukuru Mungu nimechaguliwa. maelezo zaid kwa ww ambao hakuna kitu kwenye profile yako nenda kwenye page yao fb kuna maelezo utapata pale