Kweli mambo ya nacte yanatutesa nafsi sana. Wameanza kuweka mabadiliko kwenye profile zetu lakini mabadiliko hayo nimaajabu matupu mf. Mimi wameniandikia eligible kwa facult mbili nilizoomba zinginine checking inprogress kinacho nitesa kwenye hizo eligible kwenye capacity ni zero.
Je wenzangu ni kama mimi?
Pia kama hamna status yoyote ya SELECTED ni be calm pekee nitapata chuo?
URAIANI YATOSHA NATAKA NISOME.
daaaa nimecheka bureee.
tatizo na ss tumekua wachunguz mno tulia wapike kesho wataipua utakula sasa tunaonja onja ndo maana tunakuta chumv hakuna mara vle mala hv mambo yatakaa sawa kua mpole